Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Yaliyojiri Afrika: Upinzani dhidi ya kampuni za USA kupata madini ya DRC waongezeka

The Map of Africa

Upinzani dhidi ya mpango waku ruhusu kampuni za Marekani kupata madini muhimu nchini Jamhuri yakidemokrasia ya Congo, una ongezeka baada ya Rais Tshisekedi kurejea nchini kutoka mkutano wa madini ulio fanyika Marekani wiki iliyopita.

Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS

Share this with family and friends

Upinzani dhidi ya mpango waku ruhusu kampuni za Marekani kupata madini muhimu nchini Jamhuri yakidemokrasia ya Congo, una ongezeka baada ya Rais Tshisekedi kurejea nchini kutoka mkutano wa madini ulio fanyika Marekani wiki iliyopita.

Rais Tshisekedi, ali ahidi kufungua milango kwa kampuni za marekani, kuwekeza katika madini ya mashariki mwa Congo ambayo hayaja chimbwa kikamilifu, na yana kadiriwa kuwa na thamani ya dola trilioni ishirini na nne.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now