Chama kikuu cha upinzani Tanzania, CHADEMA kina shinikiza kuachiliwa huru kwa kiongozi wao Tundu Antiphas Mughwai Lissu bila masharti.
Ni mwaka mmoja tangu Tundu Lissu alipo kamatwa, naku wekwa gerezani kwa mashtaka ya uhaini na uchochezi.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






