Viongozi wa Tanzania na Rwanda wamekubaliana kuchukua jukumu la kuhakikisha ushirikiano ndani ya Jumuiya ya afrika mashariki unaimarika kwa ajili ya manufaa ya kanda hiyo na watu wake.
Katika mazungumzo ya viongozi hao wawili, Rais Samia Suluhu Hassan alihimiza haja ya kuongeza kasi ya kuondoa vikwazo ili kukuza soko la pamoja kwa nchi za Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






