Maafisa wame onya wakazi katika maeneo yaliyo athirika wasi ingie ndani ya majengo hayo, kabla ya uchunguzi waku baini kama majengo hayo ni salama kukamilika.
SBS Swahili ilizungumza na Bw Valerian Katula, ambaye alijeruhiwa alipokuwa akikimbia pamoja na wafanyakazi wenzake kutoka ofisi yake wakati wa tetemeko hilo la ardhi.
Share





