SKIP TO MAIN CONTENT

Taarifa ya Habari:Wafanya biashara waomba ushirikiano na serikali kabla ifanye mabadiliko katika uhamiaji

EOI
Source: AAP

Vikundi vya wafanyabiashara vinaihimiza serikali ya shirikisho kushirikiana nao, katika mashauriano kabla ya mabadiliko yoyote makubwa kutangazwa kuhusu sera ya uhamiaji.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Skip to podcast episode content

Vikundi vya wafanyabiashara vinaihimiza serikali ya shirikisho kushirikiana nao, katika mashauriano kabla ya mabadiliko yoyote makubwa kutangazwa kuhusu sera ya uhamiaji.


Waziri wa Uchukuzi wa Shirikisho Catherine King ameahidi kushughulikia "masuala yoyote ya kimfumo" ambayo yanatokana na uchunguzi kuhusu jinsi ndege mbili zilivyokaribia kugongana katika Uwanja wa Ndege wa Sydney Jumapili 9 Agosti.

Mahakama mjini Malindi imetoa uamuzi kwamba uchaguzi mkuu ujao wa Kenya unapaswa kufanyika Jumanne, Agosti 11, 2026, na si mwaka wa 2027.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now