Health Minister Mark Butler and the NDIS, flagging cuts to the National Disability Insurance Scheme as the government seeks to curb growth to about 5 per cent. (AAP Image/Susie Dodds) NO ARCHIVING Source: AAP / Susie Dodds/AAPIMAGE
Watetezi wa ulemavu wanaihimiza serikali kufikiria upya mabadiliko ya Mpango wa Kitaifa wa Bima ya Ulemavu unao julikana kama NDIS, kabla ya kura ya bunge inayokaribia kuhusu mageuzi yaliyopendekezwa.

Kwa lengo la kukomesha ulaghai na matumizi, mageuzi yaliyopendekezwa na Serikali ya Shirikisho yatapunguza matumizi na ushiriki wa NDIS, ambayo watetezi wanaonya yanaweza kuwa na madhara makubwa.