Bango la wimbo mpya wa A.T.M Jeff Source: A.T.M JeffMwaka huu umekuwa mgumu sana kwa msanii A.T.M Jeff kutoka Perth, Magharibi Australia.
Published
By Gode Migerano
Presented by Gode Migerano
Source: SBS
Skip to podcast episode content
Share this with family and friends
Mwaka huu umekuwa mgumu sana kwa msanii A.T.M Jeff kutoka Perth, Magharibi Australia.
Katika mazungumzo maalum na Idhaa ya Kiswahili ya SBS, A.T.M Jeff aliweka wazi masaibu yanayo mkabili, nakupunguza kasi yakukuwa kwake kimziki.
Bofya hapo juu kwa makala kamili.