SKIP TO MAIN CONTENT

Taarifa ya Habari:Wafanyakazi wa kusambaza vyakula kuongezewa mshahara kuanzia leo

Uber Eats
Source: Flickr

Takriban idadi yawa Australia 250,000 wanaosafirisha vyakula kutoka hotelini na dukani kwa ajili ya kujikimu, wanatarajiwa kupokea mshahara wa chini kisheria kwa mara ya kwanza.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Skip to podcast episode content

Takriban idadi yawa Australia 250,000 wanaosafirisha vyakula kutoka hotelini na dukani kwa ajili ya kujikimu, wanatarajiwa kupokea mshahara wa chini kisheria kwa mara ya kwanza.


Jitihada zenye utata za kupunguza matumizi kwenye Mpango wa Kitaifa wa Bima ya Ulemavu zinaweza kupitishwa mapema hii leo Agosti 17. Mazungumzo yanaendelea kuhusu muswada wa serikali, ambao ungepunguza dola bilioni 37.8 zinazolengwa kutoka NDIS kwa kipindi cha miaka minne na kuwaondoa washiriki 160,000 kwa kuimarisha mahitaji ya ustahiki.

Vurugu zimezuka siku ya Jumapili, Agosti 16, huko Homa Bay, magharibi mwa Kenya, ambapo mkutano wa upinzani ulikuwa ukifanyika. Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna na wabunge wengine walisafiri hadi kwenye mkutano huo chini ya bendera ya harakati ya Linda Mwananchi, ambayo inalenga kuwaunganisha vijana na kuwakusanya wale wasioridhika na serikali ya William Ruto kabla ya uchaguzi wa urais wa Agosti 2027. Rais huyo Rais anayepingwa ametangaza kugombea tena.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now