Mgogoro wa makazi ukiendelea, vurugu za kifamilia na majumbani (DFSV) ndio sababu kuu ya wanawake na watoto kuondoka nyumbani kwao na kukosa makazi.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Serikali inasema inawekeza dola milioni 308 katika suluhisho za makazi ili kuwasaidia kutoroka, lakini wakosoaji wanasema mengi zaidi yanahitaji kufanywa.
Hali hiyo inajiri wakati Mpango wa Pili wa Utekelezaji wa kukomesha DFSV ukiendelezwa, huku sekta hiyo ikiwa bado iko chini ya shinikizo kubwa.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






