Wanaharakati wanao tetea haki za wakimbizi katika maeneo ya kanda ya Australia Source: rarShirika la watetezi wa wakimbizi la kandani, lime sema kuna ongezeko la watu wanao wakaribisha wakimbizi katika jamii za kandani.
Published
Updated
By Tom Stayner
Presented by SBS Swahili, Gode Migerano
Source: SBS
Skip to podcast episode content
Share this with family and friends
Shirika la watetezi wa wakimbizi la kandani, lime sema kuna ongezeko la watu wanao wakaribisha wakimbizi katika jamii za kandani.
Shirika hilo ni moja kati ya mashirika sita ya wanaharakati, yanayo ihamasisha serikali iongeze idadi ya wakimbizi inayo pokea.