Joan Otieno ni msanii wa graffiti kutoka Kenya, ali eleza SBS Swahili kuhusu uzoefu wake waku shirikiana na wasanii wa Australia, pamoja na mafunzo atakayo peleka Kenya kuboresha kazi yake.
Wakenya wapamba mitaa ya Adelaide katika tamasha ya SANAA 2018 #Joan Otieno

Joan Otieno aonesha kazi yake katika tamasha ya SANAA mjini Adelaide Source: SANAA Festival
Tamasha ya pili ya SANAA mjini Adelaide ilijumuisha kwa mara nyingine ushirikiano kati ya wasanii kutoka Kenya na wenzao wa Australia.
Share




