Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Waasi wa kundi la ADF Nalu wafikishwa mahakamani

Ushahidi ukiwasilishwa mahakamani
Ushahidi ukiwasilishwa mahakamani Source: Byobe Malenga

Mahakama ya kijeshi mjini Beni ilihanza kusikiliza kesi ya watuhumiwa kadhaa wa wanamgambo kutoka kundi la waasi wa ADF Nalu katika mji wa Beni mkoani kivu, kaskazini mashariki mwa jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo.

Published

Updated

By SBS Swahili, Byobe Malenga

Presented by Byobe Malenga, Gode Migerano

Source: SBS

Share this with family and friends

Mahakama ya kijeshi mjini Beni ilihanza kusikiliza kesi ya watuhumiwa kadhaa wa wanamgambo kutoka kundi la waasi wa ADF Nalu katika mji wa Beni mkoani kivu, kaskazini mashariki mwa jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo.

Hatua hiyo imejiri baada ya kuwepo na mfululizo wa mauwaji ya kinyama dhidi ya raia wasio na hatia wiki iliopita katika maeneo ya BENI.

Mwandishi wa SBS nchini Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo, BYOBE MALENGA alitutumia tarifa hii.

Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now