Viongozi wa jumuiya yawa Afrika wa NSW walishiriki katika mazungumzo maalum na kinogozi wa chama cha NSW Labor wiki jana.
Punde baada ya mkutano huo, SBS Swahili ilizungumza na baadhi ya viongozi walio hudhuria kongamano hilo.
Share
LIVE, FREE and EXCLUSIVE
Published
Updated
By SBS Swahili
Source: SBS
Share this with family and friends
Punde baada ya mkutano huo, SBS Swahili ilizungumza na baadhi ya viongozi walio hudhuria kongamano hilo.