Familia zawa Afrika za aga mwaka wa 2018

Bw na Bi Kisimba katika sherehe yakuaga mwaka wa 2018 Source: SBS Swahili
Mwaka wa 2018 ulitoa uzoefu mseto kwa baadhi ya jamii zawa Afrika wanao ishi nchini Australia, SBS Swahili ilizungumza na mwenyekiti wa shirika la African Families christmas dinner night, kuhusu baadhi ya miradi nama tukio ambayo, shirika lake ili andaa mwaka huu.
Share