SBS Swahili ilihudhuria uzinduzi wa filamu: Irrebersible Choices mjini Sydney Australia. Filamu hiyo ili andikwa nakutengezwa na Bw John K-ay.
Bw K-ay alitueleza kuhusu changamoto zaku eleza hadithi zaki Afrika kupitia filamu nchini Australia, pamoja na matatizo ya ufadhili wa miradi kama hiyo.
Bw K-ay kwa sasa anafanya ziara ya uzinduzi wa filamu yake nchini Australia. Kwa maelezo ya ziada kuhusu filamu hiyo, tembelea tovuti hii: www.johnkayfilms.com
Share





