SBS Swahili ilizungumza na Bw Emmanuel Musoni ambaye ndiye Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Great Lakes Agency for Peace and Development International (GLAPD) na Bw Jerome Rugazura ambaye ni mwanachama wa GLAPD.
Wawili hao walizungumzia mradi mpya ambao shirika la GLAPD na Halmashauri ya Tenterfield Shire kutoka New England ime zindua. Kupitia mradi huo baadhi ya wanachama wa GLAPD na jumuiya zingine zawa hamiaji wata hama kutoka miji mikuu nakuanza maisha kandani NSW.
Kwa maelezo ya ziada kuhusu mradi huo, tembelea tovuti ya GLAPD:
www.glapd.com
Share





