Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Maonesho ya utamaduni wa jumuiya kutoka Afrika 2016

SBS Swahili
SBS Swahili Source: SBS Swahili

SBS Swahili ili hudhuria maonesho ya utamaduni wa jumuiya zenye asili ya Afrika mjini Sydney Australia.


Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


SBS Swahili ili hudhuria maonesho ya utamaduni wa jumuiya zenye asili ya Afrika mjini Sydney Australia.


Umaarufu wa tamasha hiyo una endelea kuongezeka kila mwaka, na mwaka huu tamasha hiyo ili andaliwa katika ukumbi wa Wyatt Park, Lidcombe NSW. Haya hapa maoni ya walioshiriki. Tembelea ukurasa wetu wa facebook ambako tume chapisha picha za tamasha hiyo. www.facebook.com/SBS Swahili


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now