Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Afrika yapoteza sauti yake

Papa Wemba jukwaani kabla ya kifo chake
Papa Wemba jukwaani kabla ya kifo chake Source: AFP

Mashabiki ulimwenguni kote wana omboleza kifo cha kigogo wa muziki wa kiafrika Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba maarufu kama Papa Wemba.


Published

Updated

By SBS Swahili

Presented by SBS Swahili, Gode Migerano

Source: SBS, SBS


Share this with family and friends


Mashabiki ulimwenguni kote wana omboleza kifo cha kigogo wa muziki wa kiafrika Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba maarufu kama Papa Wemba.


Msanii huyo kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, alikuwa maarufu katika micharazo ya muziki wa Soukous na Rumba. Alifariki Jumapili asubuhi baada ya kuanguka kwenye jukwaa mjini Abidjan, Ivory Coast. Alikuwa na umri wa miaka 66.
SBS Swahili ilizungumza na Bw Blaise Itabelo ambaye ni mmoja wa maelfu wa mashabiki wa muziki wa Papa Wemba wanao ishi Australia.

Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now