SBS Swahili ili hudhuria tamasha ya Afro-Latino katika ukumbi wa Casula Powerhouse, ambako jumuiya za watu kutoka Afrika na Amerika ya Kusini, walijumuika kuchangia tamaduni zao kupitia miziki. Tuli zungumza na Bi Ida ambaye alitueleza kuhusu nafasi yake katika tamasha hiyo.
Share





