SBS Swahili ili zungumza na Bw Ibrahim Hussein ambaye ndiye Naibu Rais wa shirika la African Professionals of Australia (APA) kuhusu kongamano shirika lake lina andalia wataalam waki Afrika mjini Sydney, Australia.
Lengo la shirika hilo niku wapa watakao shiriki, mikakati yaku hifadhi hela pamoja naku ongeza ujuzi wao wa fedha, wanapo shirikiano na wenzao. Kwa maelezo ya ziada kuhusu APA tembelea tovuti yao:
www.apaau.com
Share





