Je Paul Pogba anakaribia kuondoka Manchester United?

Nyota wa Ufaransa na Manchester United Paul Pogba Source: Getty Images
Uvumi unapo endelea kutanda kuhusu uwezekano wa kiungo wa kati wa Manchester United Paul Pogba kuondoka katika klabu hiyo, mwandishi wetu Frank Mtao amefanya uchambuzi kuhusu maswala yote yanayo husiana na soko la uhamisho la soka ya ulaya.
Share