Bi Sheila Matete-Owiti amebadili takwimu hiyo, kwaku andika naku zindua kitabu chake kwa jina la: A Royal Priesthood.
Je wanaume wako tayari kuchangia uongozi na wanawake kanisani?

Wachungaji waonesha kitabu kipya cha Sheila punde baada ya uzinduzi wacho Source: SBS Swahili
Ni nadra kwa wanawake wakiAfrika, kuandika vitabu kuhusu maswala yakidini.
Share

