Idadi ya vifo kutoka kwa mlipuko wa kirusi cha coronavirus nchini China imefika 106.
Taarifa hiyo imejiri wakati visa vitano vya virusi hivyo vimethibitishwa nchini Australia.
Mataifa ya Ufaransa, Ureno na Uhispania, yametangaza tayari mipango yakuwaondoa raia wao, wakati Uingereza inaweka juhudi kuwapa raia wao, uamuzi wakuondoka katika maeneo ya karibu ya jimbo la Hubei.
Share






