Taarifa ya Habari: SES NSW yapokea simu 450 zakuomba msaada wakati wa mafuriko magharibi mwa Sydney

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS / SBS Swahili

Mvua kubwa imesababisha mafuriko ya ghafla katika sehemu za Sydney usiku kucha wa Alhamisi hadi Ijumaa, wafanyakazi wakujitolea wa S-E-S wakitoa huduma za uokoaji 44 za maji ya haraka.


Shirika la S-E-S New South Wales lilipokea simu zaidi ya 450 za kuomba msaada, wakati mitaa ikiwa imefurika katika sehemu za magharibi mwa Sydney, ambazo zilipokea zaidi ya milimita 100 ya mvua katika saa chache.

Wizara ya afya Tanzania imesema kuwa maambukizi ya wagonjwa wa mafua makali ya Influenza na Uviko-19 yameongezeka na kuwataka wananchi kuchukua hatua stahiki za kujikinga na maambukizi hayo.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Share

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now