SKIP TO MAIN CONTENT

Yaliyojiri Afrika:Askari pori watuhumiwa kwa mauaji ya raia Tanzania

Afrika kwenye ramani ya dunia.png

Kituo cha sheria cha haki za binadamu Tanzania, kime eleza wasiwasi kuhusu madai ya watu kuuawa, kujeruhiwa au kupotea katika maeneo ya hifadhi nchini humo.


Published

By Jason Nyakundi

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Skip to podcast episode content

Kituo cha sheria cha haki za binadamu Tanzania, kime eleza wasiwasi kuhusu madai ya watu kuuawa, kujeruhiwa au kupotea katika maeneo ya hifadhi nchini humo.


Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Kauli hiyo inafuatia kifo cha kijana mmoja, nakujeruhiwa kwa wengine wawili baada ya kukamatwa na Askari wa wanyama pori katika eneo la hifadhi la Ngorongoro mkoani Arusha.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now