SKIP TO MAIN CONTENT

Makala Leo:Mageuzi ya NDIS yanatarajiwa kuwa sheria ila, wanaharakati wadai makato yata sababisha madhara

Planned reforms to the NDIS are the subject of intense debate

Mageuzi ya Mpango wa Kitaifa wa Bima ya Watu Wenye Ulemavu yamejadiliwa katika Seneti, huku sheria ikitarajiwa kupitishwa wiki hii kwa msaada wa Upinzani wa Mseto.


Published

Updated

By Tee Mitchell

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Skip to podcast episode content

Mageuzi ya Mpango wa Kitaifa wa Bima ya Watu Wenye Ulemavu yamejadiliwa katika Seneti, huku sheria ikitarajiwa kupitishwa wiki hii kwa msaada wa Upinzani wa Mseto.


Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Muswada huo kwa kiasi kikubwa unasisitiza kupunguzwa kwa bajeti ya Mei, ambayo inatabiri akiba ya dola bilioni 37.8 kwa miaka minne, wakati kukiwa na wasiwasi kuhusu ukuaji wa matumizi.

Wakosoaji mbalimbali wamehoji kama njia mbadala za serikali zitakuwa tayari kwa wakati, na wakasema kupunguzwa huko kutakuwa na madhara.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now