Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Australia Yafafanuliwa: Vidokezo vya kupunguza gharama ya petroli |Mafuta Yalengwa

FUEL STOCK

Unleaded fuel drops to 209.9 cents per litre at a service station in Abbotsford, Melbourne, Thursday, April 2nd, 2026. (AAP Image/Jay Kogler) NO ARCHIVING Source: AAP / Jay Kogler/AAPIMAGE

Bei za petroli na dizeli nchini Australia zinaendelea kukabiliwa na shinikizo wakati huu ambapo vita kati ya Marekani na Iran vina ingia mwezi wa tatu.Bei za petroli na dizeli nchini Australia zinaendelea kukabiliwa na shinikizo wakati huu ambapo vita kati ya Marekani na Iran vina ingia mwezi wa tatu.

Published

By Sahil Makkar

Presented by Gode Migerano

Source: SBS

Share this with family and friends

Bei za petroli na dizeli nchini Australia zinaendelea kukabiliwa na shinikizo wakati huu ambapo vita kati ya Marekani na Iran vina ingia mwezi wa tatu.Bei za petroli na dizeli nchini Australia zinaendelea kukabiliwa na shinikizo wakati huu ambapo vita kati ya Marekani na Iran vina ingia mwezi wa tatu.

Kwa familia nyingi nchini Australia, shinikizo hilo lime ongezeka mara mbili kufuatia uamuzi wa Benki ya Akiba ya Australia (RBA) kuongeza kiwango cha riba mwezi huu.

Watu wanalipa gharama kubwa zaidi kwenye pampu za mafuta wakati wakikabiliana na kuongezeka kwa gharama za vyakula, kodi ya nyumba, mikopo ya nyumba na mahitaji mengine muhimu.

Katika makala haya ya Australia Yafafanuliwa: Mafuta yalengwa, tunaangazia huduma huru na za bure zinazopatikana ili kuwasaidia watu kukabiliana na msongo wa kifedha.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now