Kila mwaka, maelfu ya watu husafiri kwenda katika jamii ya kijijini kaskazini mashariki mwa Arnhem Land katika Eneo la Kaskazini.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Kabla hatujaanza, onyo la maudhui: Wasikilizaji wa Waaborijini na Wakazi wa Visiwa vya Torres Strait wanashauriwa kwamba maudhui yafuatayo yana majina ya watu wa asili waliofariki.
Unaweza kusikia kuhusu Tamasha la Garma katika habari kila mwaka, hasa viongozi wa kisiasa wa Australia wanaposafiri kwenda Arnhem Land, kaskazini mashariki kuhudhuria.
Lakini Garma ni nini, na kwa nini imekuwa mojawapo ya mikusanyiko muhimu zaidi ya kila mwaka nchini?
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.






