Mh Dkt Jackson Kosgei ni Askofu mstaafu, na kwa sasa ana hudumu kama mjumbe aliyeteuliwa katika bunge la Kenya.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Mh Dkt Kosgei ni miongoni mwa wabunge wanao ishi na ulemavu.
Katika mazungumzo na SBS Swahili, alifunguka kuhusu fursa zilizopo na jinsi watu wanao ishi na ulemavu wanastahili hudumiwa nchini Kenya.
Bofya hapo juu kwa mahojiano kamili.
Share




