SKIP TO MAIN CONTENT

Taarifa ya Habari:Serikali ya Shirikisho yazingatia hatua zakisheria dhidi ya shirika la OpenAI kwa uvujaji wa taarifa za Medicare

Medicare Becomes Key Election Issue As Pressure Mounts To Lift Rebate Freeze
SYDNEY, AUSTRALIA - MAY 23: The Medicare logo is seen on May 23, 2016 in Sydney, Australia. In the May budget, the Turnbull Government announced it would continue the indexation freeze for all Medicare schedule fees until 2020, which doctors warn will will lead to less bulk billing. (Photo by Brendon Thorne/Getty Images) Credit: Brendon Thorne/Getty Images

Serikali ya Shirikisho inasema inazingatia hatua za kisheria dhidi ya OpenAI, baada ya mmoja wa mawakala wake kukiuka mfumo wa Medicare wa Australia mnamo Juni, wakati wa tathmini ya ndani ambapo mifumo yake ilikuwa ikitafiti matumizi ya matibabu ya umma.


Published

Updated

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Skip to podcast episode content

Serikali ya Shirikisho inasema inazingatia hatua za kisheria dhidi ya OpenAI, baada ya mmoja wa mawakala wake kukiuka mfumo wa Medicare wa Australia mnamo Juni, wakati wa tathmini ya ndani ambapo mifumo yake ilikuwa ikitafiti matumizi ya matibabu ya umma.


Mtoto wa mwaka mmoja amefariki dunia hospitalini baada ya kupatikana akiwa na majeraha ya kuchomwa visu katika eneo la Blue Mountains, magharibi mwa Sydney, siku ya Jumapili. Wapita njia waliona gari lililokuwa na watoto watatu na mwanamke mwenye umri wa miaka 42, wote wakiwa na majeraha ya kuchomwa visu. Polisi wanasema mwanamke huyo sasa atakabiliwa na shtaka la ziada la mauaji, baada ya awali kushtakiwa kwa mauaji ya mwanawe wa kiume mwenye umri wa miaka mitano.

DRC na Rwanda, zimelaumiana kuhusu utekelezwaji wa mikataba ya kumaliza vita katika eneo la Maziwa Makuu, katika hotuba za wawakilishi wa nchi hizo, mbele ya Mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa, unaoendelea jijini New York nchini Marekani.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now