SKIP TO MAIN CONTENT

Taarifa ya Habari:Wachumi wasema ripoti ya Serikali kuhusu Vizazi inaonyesha kuwa uchumi utazidi kutegemea ukuaji wa tija katika miongo ijayo

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili
Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS / SBS Swahili

Wanauchumi wanasema kuwa Ripoti ya hivi karibuni ya Serikali kuhusu Vizazi (Intergenerational Report) inaonyesha kuwa uchumi utazidi kutegemea ukuaji wa tija katika miongo ijayo.


Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Skip to podcast episode content

Wanauchumi wanasema kuwa Ripoti ya hivi karibuni ya Serikali kuhusu Vizazi (Intergenerational Report) inaonyesha kuwa uchumi utazidi kutegemea ukuaji wa tija katika miongo ijayo.


Ripoti hiyo, ambayo inatoa makadirio ya athari za sera za serikali kwa kipindi cha miaka 40 ijayo, inatabiri kuwa uchumi wa Australia utakuwa mkubwa zaidi ya mara mbili ifikapo mwaka 2066, na wastani wa raia wa Australia utafurahia kipato cha juu kwa asilimia 55.

Mvutano umeibuka tena kati ya Uganda na Uturuki. Kufuatia Ankara kukataa ombi la kumrudisha kutoka Kampala likimlenga mwanablogu wa Uganda ambaye alikuwa ametafuta hifadhi nchini Uturuki, mamlaka ya Uganda ilitangaza siku ya Jumamosi, Septemba 19, "kusitishwa mara moja" kwa ushirikiano wote wa kijeshi na Uturuki.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now