SKIP TO MAIN CONTENT

Harrison "inabidi tupeleke tamasha hili katika zingine za kanda hili"

Harrison Mbugi katika tukio la filamu zawa Afrika  mjini Sydney, Australia.jfif

Wanachama wa Jumuiya zawa Afrika wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika ukumbi wa maarufu wa Opera House na Events Cinema Parramatta, kushiriki katika tamasha ya kila mwaka ya filamu zaki Afrika kuanzia 3-6 Septemba.

Published

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS

Skip to podcast episode content

Wanachama wa Jumuiya zawa Afrika wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika ukumbi wa maarufu wa Opera House na Events Cinema Parramatta, kushiriki katika tamasha ya kila mwaka ya filamu zaki Afrika kuanzia 3-6 Septemba.

Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Harrison Mbugi alikuwa miongoni mwa wadau walio hudhuria hafla hiyo, katika mazungumo na SBS Swahili alifunguka kuhusu uzoefu wake pamoja na umuhimu wa hafla hiyo kwa jumuiya zawa Afrika wanao ishi jijini Sydney.

Bofya hapo juu kwa mahojiano kamili.

Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now