Shirika la African Australian Advocacy Centre, lili zindua ripoti inayo weka wazi michango yawa Australia wenye asili ya Afrika kwa taifa hili usiku wa Jumamosi 19 Septemba 2026.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Dkt Jane Brasso alikuwa miongoni mwa wadau walio hudhuria hafla hiyo, na katika mazungumzo na SBS Swahili alizungumzia baadhi ya maswala yaliyo tajwa katika ripoti hiyo, ikiwemo uzoefu wake na maswala aina mbali mbali ya ubaguzi.
Tembeleo tovuti hii, ambako unaweza pata ripoti hiyo:
https://www.africanaustralianadvocacy.org.au/
Bofya hapo juu kwa mahojiano kamili.
Share




