SKIP TO MAIN CONTENT

Noel"ripoti hii ina ushahidi wamambo mazuri tunayo fanya kuliko wanasiasa na vyombo vya habari vinavyo sema"

Bw Noel Mkurugenzi wa shirika la African Australian Advocacy Centre akitoa hotuba.jfif

Shirika la African Australian Advocacy Centre (AAAC), lili zindua ripoti inayo weka wazi michango yawa Australia wenye asili ya Afrika kwa taifa hili usiku wa Jumamosi 19 Septemba 2026.


Published

Updated

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS


Skip to podcast episode content

Shirika la African Australian Advocacy Centre (AAAC), lili zindua ripoti inayo weka wazi michango yawa Australia wenye asili ya Afrika kwa taifa hili usiku wa Jumamosi 19 Septemba 2026.


Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Bw Noel ndiye Mkurugenzi wa shirika la AAAC, katika mazungumzo na SBS Swahili alifunguka kuhusu utafiti ambao shirika lake pamoja na washirika wao walifanya, na mapokezi ya ripoti hiyo kutoka kwa wanajumuiya na wadau wengine.

Tembelea tovuti hii, ambako unaweza pata ripoti hiyo:

www.africanaustralianadvocacy.org.au

Bofya hapo juu kwa mahojiano kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now