Wanachama wa Jumuiya zawa Afrika wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika ukumbi wa maarufu wa Opera House na Events Cinema Parramatta, kushiriki katika tamasha ya kila mwaka ya filamu zaki Afrika kuanzia 3-6 Septemba.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Albert Mwangi ni muigizaji mwenye asili ya Kenya ambaye amehusika katika kazi nyingi za sanaa nchini Australia.
Bw Albert ame igiza katika filamu nyingi na hata katika tamthilia za TV nchini Australia. Katika mazungumzo na SBS Swahili, alifunguka kuhusu kilicho mshawishi kuwa muigizaji na baadhi ya kazi ambazo ameshiriki hivi karibuni.
Bofya hapo juu kwa mahojiano kamili.
Share



