SKIP TO MAIN CONTENT

Makala Leo: Jacinta Allan akataa kujiuzulu, pambano la uongozi wa chama cha Labor cha Victoria likiongezeka kasi

JACINTA ALLAN PRESSER
(L-R) Eltham MP Vicki Ward, Incoming Victorian Premier Jacinta Allan and Incoming Deputy Victorian Premier Ben Carroll speak to media at Victorian Parliament in Melbourne, Wednesday, Wednesday, September 27, 2023. (AAP Image/Joel Carrett) NO ARCHIVING Source: AAP / JOEL CARRETT/AAPIMAGE

Kiongozi wa Jimbo la Victoria, Jacinta Allan, anasema atapambana na changamoto ya uongozi inayokuja baada ya viongozi wa mirengo tafuati ndani ya chama cha Labor, kukutana na kukubaliana kwamba amepoteza uungwaji mkono wa wengi katika mkutano wao.

Published

By Tee Mitchell

Presented by Gode Migerano

Source: SBS

Skip to podcast episode content

Kiongozi wa Jimbo la Victoria, Jacinta Allan, anasema atapambana na changamoto ya uongozi inayokuja baada ya viongozi wa mirengo tafuati ndani ya chama cha Labor, kukutana na kukubaliana kwamba amepoteza uungwaji mkono wa wengi katika mkutano wao.

Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Naibu wake Ben Carroll ametangaza kwamba atagombea nafasi ya juu, akianzisha shindano ambalo linaweza kuchukua wiki kadhaa kutatuliwa, huku uchaguzi ukitarajiwa miezi minne ijayo.

Bofya hapo chini kwa taarifa kamili.

Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now