Viongozi wa Australia na wenzao wakimataifa wamekemea vikali shambulizi karibu na kasri ya Westminster mjini London, ambako watu watano wame fariki nawengine 40 wame jeruhiwa.
Miongoni mwa wafu ni afisa wa jeshi la polisi, pamoja na anaye shukiwa kufanya shambulizi hilo.
Alipo zungumzia shambulizi hilo, Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May alisema kwamba mwanaume huyo alilenga moyo wa Uingereza
Share





