Mweka hazina wa taifa asema sheria zaku zuia ukwepaji waku lipa kodi Australia ziko imara

Nyaraka za wanao kwepa kulipa kodi Source: SBS
Nyaraka zilizo vujwa, zime fichua siri za baadhi yama tajiri pamoja nama kampuni yakimataifa duniani yanayo kwepa ulipaji wa kodi. Baadhi ya makampuni hayo, yana endesha oparesheni zao Australia. Mchambuzi wa maswala ya fedha wa SBS Swahili Tim Mudasia, alituchambulia swala hilo kwa undani.
Share




