Betty Langat ni mmoja wa mawakala ambao wamefanikisha ndoto za wanafunzi wengi wakimataifa kutoka Kenya ambao wanasomea nchini Australia kwa sasa.
Katika mazungumzo maalum, Bi Betty alifunguka kuhusu kazi ya mawakala kama yeye, pamoja na shirika la Grace International ambalo amejiunga nalo hivi karibuni baada yakufunga kampuni yake ya mawakala.
Tunge penda kukujulisha kuwa, taarifa iliyo tolewa katika mahojiano haya ni ya asili ya jumla. Huenda taarifa hii haita kuwa sahihi kwa mazingira yako binafsi, wasiliana na wakala wako wa uhamiaji kwa ushauri kuhusu hali yako.”