SBS Swahili ili zungumza na Mwenyekiti na Nahodha wa timu ya Cricket ya Maasai Warriors walipo kuwa ziarani nchini Australia. Wali tueleza wanavyo tumia mchezo wa Cricket kuelimisha jumuiya yao na zingine nchini Kenya na katika ukanda wa Mashariki ya Afrika dhidi ya tohara ya wanawake.
Bonyeza kwenye video utazame walio tueleza, jisikie huru kuchangia makala haya na wenzako na usi sahau ku penda (like) ukurasa wetu wa Facebook: facebook.com/SBS Swahili
Unaweza tazama filamu ya Maasai Cricket Warriors hapa: http://www.warriorsfilm.co.uk/
<
Share





