SBS Swahili ili hudhuria sherehe iliyo andaliwa na shirika la Great Lakes Agency for Peace and Development (GLAPD) mjini Sydney, Australia.
Tulipata fursa yakuzungumza na mlezi wa GLAPD Balozi Matthew E. K Neuhaus, ambaye alizungumzia mchango wa shirika hilo katika shughuli za utoaji wa huduma kwa wakimbizi na wahamiaji nchini Australia. Kwa maelezo ya ziada kuhusu GLAPD, tembelea tovuti yao:
www.glapd.com
Share





