Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Kodi mpya yaku ingiza bidhaa nchini Burundi yazua mvutano katika bandari kuu ya taifa

AAP
AAP Source: AAP

Burundi imeanzisha mfumo mpya wa kutoza kodi baada ya kuasisi Mamlaka ya kukusanya mapato nchini humo maarufu OBR kwa ufupi. Hata hivo , sehemu kubwa ya wafanyabiashara wanalalamikia mfumo huo kwamba umekuwa na viwango vikubwa vya kodi kiasi ya kutatiza shughuli zao za kibiashara. Serikali ya Burundi kupitia Ofisi ya mapato wanasema hoja za wafanyabiashara hazina msingi. Tatizo na vile wafanyabishara walizowea miaka mingi kukwepa kodi au kupitisha bidhaa zao mlango wa nyuma. Hali hiyo ya mvutano imesababisha biashara nyingi kusalia katika ghala za bandari kuu ya mjini Bujumbura.Muandishi wetu wa Bujumbura, Ramadhani KIBUGA amelizungukia swala hilo na kutuandalia makala haya. Ungana nae

Published

By SBS Swahili

Source: SBS

Share this with family and friends

Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now