Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Wiki ya tatu ya kampeni yatawaliwa na msako wa AFP nakujiuzulu kwa mgombea wa chama cha Liberal

Sherry Sufi
Sherry Sufi Source: Sherry Sufi

Wiki ya pili ya kampeni za uchaguzi mkuu ime kamilika baada yaku dai jeruhi waki siasa, baada ya mgombea wa Fremantle, Magharibi Australia wa chama cha Liberal aliye zua utata kwa madai yake kujiuzulu.

Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS

Share this with family and friends

Wiki ya pili ya kampeni za uchaguzi mkuu ime kamilika baada yaku dai jeruhi waki siasa, baada ya mgombea wa Fremantle, Magharibi Australia wa chama cha Liberal aliye zua utata kwa madai yake kujiuzulu.

Hata hivyo uvamizi wa polisi wa shirikisho kwa ofisi ya seneta wa chama cha Labor, ulio fufua uhasama kati ya waziri mkuu na kiongozi wa chama cha upinzani.

Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now