Waziri Mkuu Malcolm Turnbull, aondoka bungeni baada ya muda wa maswali na majibu Source: AAPSerikali ya taifa ime maliza kikao cha mwisho cha bunge, kabla ya mapumziko ya majira ya baridi, licha yakuto wasilisha muswada muhimu wa kodi.
Published
Updated
By Myles Morgan
Presented by Gode Migerano
Source: SBS
Skip to podcast episode content
Share this with family and friends
Serikali ya taifa ime maliza kikao cha mwisho cha bunge, kabla ya mapumziko ya majira ya baridi, licha yakuto wasilisha muswada muhimu wa kodi.
Wakati huo huo kiongozi wa upinzani, naye amejipata chini ya shinikizo wakati vyama vikubwa vina anza kampeni kubwa ya chaguzi ndogo za mwezi ujao.