Imekuwa wiki nyingine ngumu bungeni kwa serikali ya mseto.Ahadi zaku badilishwa kwa kodi zili anza kusahauliwa wakati serikali ilipo anza mashambulizi dhidi ya sera ya chama cha Labor. Kampeni zaku zua uoga na matumizi mabaya ya fedha, zili tawala mjadala bungeni. Mtangazaji wetu Gode Migerano ame andaa taarifa ifuatayo.
Share





