SBS Swahili ilizungumza na Catherine Karanja ambaye amekubali changamoto yaku toa uelewa kwa mabadiliko ya kijamii, kwa watu ambao wako kwenye athari yakupoteza makazi, pamoja nakumulika umuhimu wakupata makazi ya gharama nafuu.
Kwa maelezo ya ziada kuhusu mradi huu, bofya hapa chini: