Sensa ya 2026 imekwisha na idadi kubwa ya Waaustralia walikamilisha utafiti huo mtandaoni.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Ingawa mamilioni walijaza fomu zao mapema, Ofisi ya Takwimu ya Australia inasema yeyote ambaye bado hajafanya utafiti huo atafuatiliwa wiki hii.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






