Changamoto za afya duniani, katika mwaka wa 2020

The Matternet drone

The Matternet drone Source: AAP

Umekuwa mwaka mgumu kwa upande wa afya ila, wakati dunia ilishuhudia idadi ya visa vya COVID-19 vikiongezeka nakupungua, wanasayansi namadaktari hawaku sahau magonjwa ambayo tulikuwa tukikabiliana nayo tayari.


Katika anga ya mji wa Berlin nchini Ujerumani, kuna ndege zisizo na rubani zinazo tumiwa na maabara za Ujerumani, zinazo tumiwa kupunguza muda unao tumiwa kusafirishwa vipimo vya coronavirus mjini humo, hatua ambayo inakwepa msongamano wamagari barabarani.

Tukifanya tathmini, mwaka wa 2020 unatukumbusha kuwa sayansi na madawa yananguvu sana kuliko kabla.

Ila, pengine tutakacho kumbuka zaidi kupitia uzoefu huu, ni jinsi tulivyo jifunza kusona barakoa zetu binafsi.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Changamoto za afya duniani, katika mwaka wa 2020 | SBS Swahili