Cherehani zilizo tolewa kwa hisani, zasaidia wasichana wa Kenya katika elimu

Seketo Lenawala ana fahari kuongeza pato lake, kupitia kushona Source: World Vision Kenya
Msaada kutoka Australia unawasaidia wanawake wasio jiweza nchini Kenya kukababiliana na janga hili na, msaada huo umechangia pia katika upatikanaji wa matokeo mengine yakushangaza.
Share