Wakenya wanao ishi mjini Sydney walifanya maandano, wakidai majibu kuhusu sababu ya kifo cha rafiki yao Sheila Chebii, aliye fariki akiwa kazini ndani ya jengo la Meriton.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
SBS Swahili ilizungumza na Betty na Chiry, walio shiriki katika maandamano hayo.
Wawili hao walifunguka kuhusu hisia za wakenya kwa kisa hicho pamoja na hatua wanazo taka ona kutoka kwa mamlaka husika.
Bofya hapo juu kwa mahojiano kamili.
Share





